iPhone 11-17 · Samsung A/S/Note/Z Series A· Google Pixel 6-10 simu original, zilizokaguliwa na tayari kutumika. Top-Up & Upgrade, mkopo kianzio 40%, delivery Tanzania nzima.
Hatukuzi simu tu tunakupa uhakika, huduma bora, na bei ambayo haipatikani kwa urahisi sehemu nyingine Dar es Salaam.
Kutoka kuchagua simu hadi kuipokea mkononi mchakato wetu ni mwepesi, wa uwazi, na wa uhakika daima.
Sisi ni WD TECH SOLUTIONS chapa ya teknolojia inayojengwa juu ya uaminifu, uwazi, na huduma kwa mteja. Hatuko hapa kuuza simu tu. Tuko hapa kuondoa hofu ya kununua teknolojia.
Mission ya WD TECH ni kuhakikisha kila mteja anapata teknolojia halisi, salama, na ya kuaminika bila hofu, mkanganyiko, au kuibiwa. Sisi tulichagua njia tofauti.
Vision ya WD TECH ni kuwa chapa ya teknolojia inayoaminika zaidi Tanzania. Kufikia wateja wa kila kona ya Tanzania kwa simu bora, bei ya haki, na huduma ya kweli.
Hizi ndizo nguzo zinazotufanya WD Tech Solutions si maneno tu, bali jinsi tunavyofanya kazi kila siku.
Bonyeza "Nunua Sasa" WhatsApp itafunguka na ujumbe wa simu hiyo tayari. Tumia vichujio kupata simu unayoitaka haraka.










































































Kianzio cha 40% tu chukua simu yako nyumbani leo hii. Rejesho rahisi kwa wiki 12 kupitia M-Pesa au dukani.
Tulituma simu Shinyanga, Dodoma, Namtumbo, Iringa na zaidi. Hapa ni uthibitisho wa kweli kutoka kwa wateja wetu.